Habari
kutoka kwa mtu wa karibu na Rapper Ngwea, aliejitambulisha kwa jina la Hamisi,
amesema Ngwea alikua kule kwa mualiko wa kufanya show South Africa, ambapo
alikua na msanii mwingine anaeitwa M to the P, na walitakiwa kuondoka leo
kurudi Dar saa tatu asubuhi, lakini baada ya kuona hawatokei ndio wakaamua
kwenda walipokuwa wamefikia na kuwakuta wote wawili wakiwa hawajielewi baada ya
kujidunga madawa ya kulevya mengi (overdose), walipowahishwa hospitali, habari
ndio ikawa hivi, kuwa Ngwea amefariki na M to the P yuko hoi hospitali
May God give you peace brother.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni