Ikiwa
ni miezi mitatu tu imebaki girlfriend wa Rapper Ney wa mitego
"Siwema" kujifungua, Ney ameongea juu ya kushuka kwa mafanikio ya
wasanii mara baada ya kuoa, ambapo yeye hatarajii kuoa hivi karibuni. Ney
amesema wengi wa wasanii bongo mara tu baada ya kuoa wanashuka kimziki na
kuwataja majina kwa kuwatolea mfano ambapo amesema Marlow kapotea baada ya
kuoa, Matonya, Z Anto na Shetta pia nyimbo zake kadhaa zimebuma baada ya kuoa.Ikiwa
ni miezi mitatu tu imebaki girlfriend wa Rapper Ney wa mitego
"Siwema" kujifungua, Ney ameongea juu ya kushuka kwa mafanikio ya
wasanii mara baada ya kuoa, ambapo yeye hatarajii kuoa hivi karibuni.Ney
amesema wengi wa wasanii bongo mara tu baada ya kuoa wanashuka kimziki na
kuwataja majina kwa kuwatolea mfano ambapo amesema Marlow kapotea baada ya
kuoa, Matonya, Z Anto na Shetta pia nyimbo zake kadhaa zimebuma baada ya kuoa.
"kuna
ngoma yangu inaitwa "utakula jeuri yako", ambayo inaelezea vitu vyote
hivyo, ambavyo may be watu hawavijui, aaah na pia inaonyesha unatakiwa kufanya
nini ukiwa kwenye mazingira hayo, ya kwamba tayari umeshakuwa kwenye ndoa,
wasanii wengi sana sio tanzania tu dunia nzima, ukioa au ukiolewa na game yako
inaisha, otherwise unatakiwa kuwa mjanja sana, kama alivyokuwa mjanja Jay Z na
Beyonce, zipo techniques ambazo unatakiwa kufanya, sio kukurupuka tu na kuoa,
na ndio maana asilimia kubwa hasa kibongo bongo sisi wengi ambao wameoa
wamefeli , kwa aslilimia nyingi sana wamefeli
ijapokuwa hili tatizo ni la dunia nzima."
"wapo
wengi ndugu yangu Matonya alipotea, Z Anto alivyooa kapotea, Marlow alivyooa
kapotea, Shetta kaoa juzi tu zimebuma kadhaa hapa katikati, nafikiri hii ni
mifano hai ambayo ipo, so watu wanatakiwa kujipanga, so ukiskia mi nimeoa ujue
nimejipanga, najua hatua mia zitakuja mbele, cause i know what am doing, hao
waliooa wana nyimbo nyingi nzuri na zinatoka lakini zinakuwa hazikiki kama
mwanzo walivyokuwa wakitoa nyimbo, sio kwamba wanakuwa hawarikodi wanarikodi ,
wimbo mzuri, na kiwango chako kinaweza kuwa hakijashuka, lakini mapokeo
yanakuwa ni tofauti, na sio msanii tu hata wafanya biashara na watangazaji
pia." amesema Ney wa mitego
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni